Sunday, May 1, 2011

let us separate politicals and education

Watanzania imefika pahala pa kutoingiza hata chembe ya siasa katika masuala yahusuyo elimu na hii itatusaidia kuiboresha elimu yetu na kuachana na ahadi za kwenye maandishi za kuiboresha elimu zinazoandikwa kila giza linapoipisha nuru.

No comments:

Post a Comment